Psalms 37:18-19


18 a Bwana anazifahamu siku za wanyofu,
na urithi wao utadumu milele.
19 bSiku za maafa hawatanyauka,
siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.
Copyright information for SwhNEN